longoze Jamii yako kuingia kwenye kitabu cha rekodi ya Mashujaa waliopigana vita ya kuishinda Siko seli Tanzania.
Jamii yako itaweza kupata Elimu sahihi ya kutusu Siko seli na inavyorithishwa kutoka kwa wazazi wote wawili, kupima vinasaba vya seiko seli na kupata ushauri wa kitaalamu wa jinsi ya melezi na huduma kwa watoto wenye Siko seli.
Tanzania iliyoishinda Siko seli inawezekana, na Inaanza na Wewe.